Back to homeWatch Original
NCIC yahamasisha wanafunzi kuhusu umuhimu wa Amani
video
June 23, 2025
9 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano, NCIC imezidisha juhudi za kukuza amani shuleni kwa kutumia vilabu vya amani kama njia ya kuzuia utumizi wa mihadarati, ghasia, na uhalifu miongoni mwa wanafunzi, hasa katika maeneo ya Pwani Akizungumza katika shule ya upili ya Kwale High, ..