Back to homeWatch Original
Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku afanya ziara ya ghafla katika afisi za makao makuu
video
June 23, 2025
9 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku hii Leo amefanya ziara ya ghafla kubaini utendakazi wa wafanyikazi wa umma katika afisi za makao makuu ya bonde la ufaa katika kaunti ya Nakuru kama njia moja ya kubaini ni saa ngapi wafanyikazi hao huingia afisini...