Wakaazi wa Kikuyu wakosa huduma za serikali baada ya ofisi kuchomwa moto
About this video
Wakaazi wa eneo bunge la Kikuyu watalazimika kusubiri kwa muda usiojulikana ili kupata huduma za serikali baada ya ofisi zote za umma kuteketezwa na moto wakati wa maandamano ya jana Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news upd..