Back to homeWatch Original
Usalama wa Kisauni
video
July 13, 2025
3 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Hofu ya usalama imeendelea kugubika eneo la Utange katika eneobunge la Kisauni kaunti ya Mombasa, baada ya genge kuvamia nyumba moja na kuiteketeza moto usiku wa kuamkia leo. Aidha, wakaazi wanaripoti kuvamiwa na kuibwa kwa kanisa lililo karibu na eneo hilo..