Wakazi 1,500 wa Gatundu, Nyandarua watabasamu baada ya kupata maji safi
About this video
Zaidi ya wakazi 1,500 wa kijiji cha Gatundu katika kaunti ya Nyandarua sasa wana sababu ya kutabasamu baada ya kuanza kupata maji safi. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. ..