Back to home

Serikali yahakikishia wazazi maandalizi thabiti ya mpito wa wanafunzi wa Gredi ya 9

video
June 26, 2025
7 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Serikali imetoa hakikisho kwa wazazi na wadau wa sekta ya elimu kuwa maandalizi ya mpito wa wanafunzi wa gredi ya 9 hadi shule za sekondari yapo imara huku ikiwataka walimu kusaidia wanafunzi kuchagua karia (career)zitakazooana na dhamira yao. Subscribe to NTV Kenya channel for..