Back to home

Wanafunzi walio gredi ya 9 sasa waanza kujiandaa kwa masomo ya sekondari ya juu

video
June 9, 2025
23 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Zaidi ya wanafunzi milioni moja wa gredi ya tisa wameanza kuchagua mwelekeo wao wa elimu ya sekondari ya juu kupitia mtaala wa cbe. Wizara ya elimu imezindua njia ya elektroniki ya wanafunzi kuchagua masomo yao huku wazazi na walimu pia wakihusishwa. Zoezi hilo linatarajiwa kuend..

Wanafunzi walio gredi ya 9 sasa waanza kujiandaa kwa masomo ya sekondari ya juu (Video)