Back to homeWatch Original
Makundi mawili yazozana kuhusu uchimbaji wa madini
video
June 27, 2025
5 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wamiliki wa shamba la kijamii la Kishushe kaunti ya Taita Taveta wamefanya maandamano kushinikiza wizara ya madini kueleza jinsi mwekezaji mmoja ameingia kwenye shamba hilo bila idhini yao...