Walimu wa sekondari msingi watakiwa kuwa makini
About this video
Walimu wa JSS Wametakiwa kuwa makini katika jamii wanamoishi kutokana na vifo ambavyo vimekithiri katika kaunti ya Bungoma Wakizungumza katika hafla ya mazishi ya ya Mwalimu wa JSS wa shule ya Nàmasanda katika kijiji cha Sikhendu eneo bunge la Kimilili ,mwalimu ambaye aliyetowek..