Back to homeWatch Original
Mafunzo yanahusu mbinu za kudhibiti magugu Nandi
video
June 30, 2025
2 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wakulima katika kaunti ya Nandi wamenufaika na mafunzo ya jinsi ya kudhibiti kwewe na Magugu shambani kwa kutumia mbinu tofauti. Utumiaji wa madawa ya kemikali kunyunyiza shambani umetajwa kuwa na athari ya kiafya kwa binadamu, kwa chakula na hata katika mazingira..