Back to home

Hoja yawasilishwa kuwatoa Kindiki na Murkomen kwenye sajili ya mawakili

video
June 30, 2025
17 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Baraza la maimamu na wahubiri wa kiisilamu nchini wanamtaka waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen kuondolewa kwenye wizara hiyo kwa kile wanachosema ni kuwa hana uwezo wa kusimamia usalama nchini. Wakati huo huo, hoja imewasilishwa kwa chama cha mawakili nchini LSK kutaka waziri M..

Hoja yawasilishwa kuwatoa Kindiki na Murkomen kwenye sajili ya mawakili (Video)