Uwanja wa Bukhungu watakiwa kukamilishwa kwa ajili ya michezo ya shule za upili za afrika mashariki
About this video
Shirikisho la michezo Ya shule za upili Afrika Mashariki limeipa serikali ya kaunti ya kakamega kipindi cha mwezi mmoja kukamilisha ujenzi wa uwanja wa Bukhungu ambao unatarajiwa kutumika kwa michezo ya shule za upili afrika mashariki mwaka huu. Subscribe and watch NTV Kenya liv..