Back to homeWatch Original
Wizara ya michezo imekabidhi uwanja wa Kasarani kwa kamati andalizi ya CHAN
video
June 30, 2025
1 day ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Serikali kupitia kwa wizara ya michezo imekabidhi rasmi uwanja wa kasarani kwa kamati andalizi ya chan humu nchini baada ya kukamilika kwa ukarabati tayari kwa michuano hiyo itakayoanza agosti pili. Akiongoza hafla hiyo, waziri wa michezo nchini salim mvurya amesema wizara yake ..