Back to homeWatch Original
Waziri Ruku azuru soko kufuatia kisa cha moto kuzuka
video
July 1, 2025
about 8 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku amewahakikishia waathiriwa wa mkasa wa moto katika soko kuu la Garissa kuwa serikali itachunguza chanzo cha mkasa huo na kuwasaidia waliopoteza mali yao kurudi kwa hali ya kawaida...