Waziri Ruku: Serikali iko tayari kusaidia waathiriwa wa moto Kibra
About this video
Waziri wa utumishi wa umma, Geoffrey Ruku, amewahakikishia wakazi wa mukungu katika mtaa wa Kibra na wa soko la Kimana, Kajiado Kusini, kuwa serikali iko tayari kuwasaidia kufuatia moto mkubwa uliowaacha mamia ya watu bila makazi katika maeneo yote mawili. Subscribe to NTV Kenya..