Back to home

Waziri Duale aiata wizara ya usalama kusisitizia utulivu

video
July 1, 2025
about 8 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Waziri wa Afya Aden Duale ameitaka wizara ya usalama wa kitaifa pamoja na afisi ya inspekata generali wa polisi kuweka mikakati zaidi ya kuhakikisha mali ya wananchi sawa na maisha yao yanalindwa wakati kuna maandamano nchini...