Back to home

Wanachama wa Keekonyokie walalamikia uamuzi wa korti

video
July 1, 2025
about 9 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wanachama wa shamba la Keekonyokie la ekari 2800 Kajiado Magharibi wametupuuzilia mbali uamuzi uliotolewa wiki jana na koti, iliyoamuru mwenyekiti wa wanachama hawa kuwasilisha hatimiliki ya shamba hili kwa mahakama kwa muda wa saa 72...