Back to home

Rais aeleza haja ya nia ya dhati ya kisiasa ili kutekeleza maafikiano

video
July 1, 2025
about 9 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Rais William Ruto ameeleza haja ya kuwa na nia ya dhati ya kisiasa ili kutimiza malengo yaliyoainishwa katika makubaliano katika kikao cha mkataba wa ustawi unaofanyika Jijini Seville,Uhispania..