Back to homeWatch Original
Wanaharakati Mombasa wataka waliotekwa nyara waachiliwe
video
July 1, 2025
about 11 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mashirika ya kutetea haki za kaunti ya mombasa wameshtumu kukamatwa kwa baadhi ya wanaharakati katika kaunti za Mombasa, Nairobi, nyandarua na Kisumu. Wanaharakati hao wanailaumu serikali wakisema ni njama ya kuzima sauti kuhusu haki..