Viongozi wa na vijana wataka majadiliano ya kuleta amani
About this video
Siku chache baada ya maandamano yaliyofanyika maeneo mbalimbali nchini wiki Jana na kusababisha uharibifu mkubwa, wakazi na viongozi katika kaunti ya Murang'a wamehimiza vijana kukumbatia mazungumzo kama njia thabiti ya kutatua migogoro, badala ya maandamano na ghasia..