Mpnago wa makao bora ya wanafunzi wa vyuo vikuu
About this video
Kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya makazi bora na ya bei nafuu kwa wanafunzi nchini, kampuni ya kibinafsi imeanzisha mchakato wa kutafuta suluhu na maendeleo mapya yanayolenga kukidhi mahitaji ya malazi ya wanafunzi na wahadhiri. Subscribe and watch NTV Kenya live for lates..