Back to home

Upasuaji waonyesha wengi waliouawa wakati wa maandamano walipigwa risasi kichwani

video
July 1, 2025
about 6 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Miili ya vijana watatu kati ya sita waliofanyiwa upasuaji wa maiti baada ya kuuawa kwenye maandamano ya Gen Z ilikuwa na majeraha ya risasi. Uchunguzi huu wa maiti uliofanywa katika makafani ya City na yale ya hospitali ya Kenyatta pia ukionyesha kuwa minzi wa kampuni ya Kenya Po..