Back to home

KMPDU yasema marupurupu ya madaktari wanagenzi yatatofautiana kulingana na eneo

video
July 1, 2025
about 14 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Muungano wa madaktari nchini KMPDU umetangaza kuwa marupurupu ya madaktari wanagenzi 1,147 yatatofautiana kwa maeneo watakayopelekwa kufanya kazi. Hii ni licha ya waziri wa afya Aden Duale kutangaza kuwa kila daktari mwanagenzi atalipwa shilingi 206,000. Subscribe to NTV Kenya c..