Back to home

Viongozi wa Kiislamu walalamikia uamuzi wa mahakama kuruhusu watoto nje ya ndoa kurithi mali

video
July 1, 2025
about 17 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Viongozi wa Kiislamu mjini Mombasa wamelalamikia vikali uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioruhusu watoto waliozaliwa nje ya ndoa katika familia za Kiislamu kurithi mali kutoka kwa baba zao, wakisema hatua hiyo inapingana moja kwa moja na misingi ya sheria za Kiislamu, hususan katika e..