Back to homeWatch Original
Limuru: Maafisa wa polisi wamtia mbaroni mshukiwa mmoja wa mauaji
video
July 2, 2025
20 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Maafisa wa polisi Limuru wamemtia mbaroni mshukiwa mmoja wa mauaji ya mwanamke aliyeuawa kinyama usiku wa kuamkia Jumanne ambapo alidungwa visu zaidi ya mara 20 na kufariki papo hapo. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news up..