Back to home

Polisi wawashika washukiwa 8 wa wizi wa mbolea huko Maua

video
July 2, 2025
20 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Washukiwa 8 wa wizi wa mbolea wamekamatwa na mifuko ya mbolea zaidi ya elfu saba iliyoibiwa imepatikana kufuatia uporaji na uharibifu wa ghala la bodi ya nafaka na mazao (ncpb) katika mji wa maua, kaunti ya meru, wiki iliyopita...