Kwale: Wanahabari wanafunzi waeleza safari zao pamoja na mtazamo wa tasnia nzima ya uanahabari
About this video
Kukuza vipaji ni mojawapo ya nguzo muhimu ya kupata nguvu kazi yenye uwezo. Leo, safari yetu inatusafirisha hadi Shule ya Wasichana ya WAA, kaunti ya Kwale, ambapo tunapatana na wanahabari wanafunzi wakieleza safari zao pamoja na mtazamo wa tasnia nzima ya uanahabari. Subscribe ..