Kisii: Mwanamume achomwa baada ya kumuua mkewe, kumchinja na kuwaandalia wanawe kama chakula
About this video
Mwanamume mmoja kaunti ya kisii amechomwa moto hadi kufa baada ya kumuua mkewe na kwa siku kadhaa kumkatakata na kuwaandalia wanawe kama chakula. Hili si jambo la kiunyama pekee alilofanya kwani alikuwa tayari amempachika ujauzito mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 14. Subs..