Back to homeWatch Original
Wakazi wa Mbulia wanaishi kwa hofu ya kufurushwa
video
July 3, 2025
8 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wakazi wa Mbulia eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta wanaishi kwa hofu baada ya kupewa notisi ya kuondoka sehemu hiyo. Wakazi hao wanasema kuwa wamekuwa wakiishi katika eneo hilo kwa zaidi ya miaka 40..