Back to homeWatch Original
Familia yaomboleza mwanafunzi Denis aliyeuawa kwenye maandamano
video
July 3, 2025
3w ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Mwanafunzi wa kidato cha 4 Denis Njuguna aliyepigwa risasi kichwani na maafisa wa polisi kwenye maandamano amezikwa nyumbani kwao eneo la Turi Molo huku familia yake pamoja na marafiki wakimmiminia sifa zake nzuri pamoja na kutia bidii masomoni alipokuwa hai. Subscribe and watch..