Back to homeWatch Original
Taharuki baada ya binti kukosa upasuaji kwa kukosa kufikia viwango vya SHA
video
July 3, 2025
about 12 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Taharuki imetanda miongoni mwa wakenya baada ya taarifa kuibuka kuwa binti aliyehitaji kufanyiwa upasuaji kuondolewa uvimbe mwilini alikosa huduma hiyo kwa gharama ya bima ya SHA baada ya kuambiwa asubiri hadi uvimbe huo ufikie kiwango fulani ili SHA ifadhili upasuaji huo. Subsc..