Back to homeWatch Original
Maafisa tabibu Machakos watoa ilani
video
July 4, 2025
19 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mgomo wa matabibu unanukia katika kaunti ya Machakos huku maafisa tabibu hao wakitoa ilani ya siku saba ya mgomo. Maafisa hao wa afya wametoa ilani hiyo baada ya mazungumzo na serikali ya kaunti Kugonga Mwamba...