Back to homeWatch Original
Maafisa tabibu walalamikia kudorora kwa afya Nairobi
video
July 14, 2025
8 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Maafisa tabibu kaunti ya Nairobi wametangaza maandamano Jumatano hii kulalamikia kile wanachosema ni kuzorota kwa huduma za afya. Maafisa hawa wa afya wakimlaumu Gavana Johnson Sakaja kwa kutojali licha ya mzozo kuendelea kwa muda sasa. Muungano ukisema maandamano ya jumatano ni ..