Back to home

Waandamanaji wazikwa

video
July 4, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Familia za Brian Maina na Joseph Ndiangui zinaitaka serikali kuhakikisha haki inatendeka kwa watoto wao waliouawa. Wawili hao waliofariki katika maandamano ya wiki jana walizikwa katika kaunti za Nyeri na Kirinyaga kwenye mazishi yaliyojaa huzuni na majonzi...