Back to homeWatch Original
Viongozi wa kenya kwanza wawasuta wapinzani
video
July 5, 2025
1mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Viongozi wa serikali wamewasuta wapinzani kwa kuendeleza siasa za mgawanyiko na kuwataka kuuza ajenda zao badala ya kuwachochea wananchi. Wakiongozwa na naibu rais Profesa Kithure Kindiki, viongozi hao wamewarai wananchi kumpa rais nafasi ya kuwatimizia ahadi alizotoa. Aidha wame..