Back to homeWatch Original
Zaidi ya wakulima nusu milioni wa kahawa wakataa mageuzi yanayolenga vyama vyao
video
July 5, 2025
about 10 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Zaidi ya wakulima nusu milioni wa kahawa wamepinga vikali agizo jipya lililotolewa na Kamishna wa Maendeleo ya Ushirika, linalotaka vyama vya ushirika vyenye wanachama zaidi ya 500, kufanya marekebisho za sheria zao ili kupitisha mfumo wa uwakilishi wa wajumbe. Subscribe and wa..