Back to homeWatch Original
Biashara na shule zafungwa kufuatia maandamano inayotarajiwa kuadhimisha siku ya Saba Saba
video
July 6, 2025
about 9 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Jumatatu Ya Saba Saba Baadhi Ya Biashara Zimetangaza Kufunga Hapo Kesho Shule Pia Nairobi Zimetuma Jumbe Kuahirisha Masomo Wafanyabiashara Wengine Jijini Wahamisha Mali Zao Waziri Geoffrey Ruku: Ofisi Za Serikali Kufunguliwa..