Wakazi wa Bula Towfiq, Garissa, waandamana kwa kukosa umeme
About this video
Wakazi wa kijiji cha Bula Towfiq viungani mwa mji wa Garissa wamefanya maandamano kushinikiza kampuni ya Kenya Power kuunganisha kijiji hicho na nguvu za umeme. Wakazi hao wanasema licha ya hao kupeleka maombi yao kwa ofisi za kampuni hakuna chochote kimefanyika huku shule za ene..