Back to home

Waliodaiwa kuchoma kituo cha polisi na korti kizimbani

video
July 8, 2025
about 11 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Washukiwa wanaodaiwa kuhusika na madai ya uharibifu wa mali katika kituo idara ya mahakama ya kiambu, wamefikishwa kizimbani. Washukiwa hao ni pamoja na Peter Kawanjiru ambaye aliachiliwa wiki iliyopita na kisha kukamatwa tena katika hali isiyoeleweka...