Back to homeWatch Original
Wana mazingira na wadau wa elimu wapigia debe mpango
video
July 8, 2025
about 9 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wanamazingira na wadau wa elimu kaunti ya Homa Bay wameanza mchakato wa kuelimisha shule mbali mbali hasa za mashinani kutumia kawi ya mvuke ili kuzuia athari za uchafuzi wa mazingira inayosababishwa na utumizi wa kuni...