Back to homeWatch Original
Wizara ya Afya yasema imefichua ulaghai wa milioni tatu katika bima ya afya ya kitambo ya NHIF
video
July 8, 2025
about 8 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Wizara ya afya sasa inadai kumekuwa na ulaghai katika bima ya afya ya kitambo ya NHIF, ikisema kuna zaidi ya visa milioni tatu vya ada za matibabu hewa ambavyo vimegunduliwa wakati wa shughuli ya uhamisho kwenye bima ya jamii kwa wote SHA. Subscribe and watch NTV Kenya live for ..