Back to home

Gavana Guyo atazamiwa kufika mbele ya Seneti leo

video
July 8, 2025
about 11 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Gavana wa Isiolo Abdi Guyo alieyeondolewa mamlakani na wawakilishi wa wadi anatazamiwa kufika mbele ya Seneti hii leo huku Bunge la seneti likianza kikao cha siku mbili kujadili pendekezo lake la kuondolewa afisini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today..