Back to home

Viongozi wa upinzani wameshutumu mauaji ya vijana

video
July 8, 2025
about 7 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Viongozi wa upinzani wameshutumu vikali mauaji ya waandamanaji siku ya saba saba wakiutaja kuwa ukiukaji mkubwa wa sheria. Viongozi hao sasa wamewataka wakenya kusimama kidete kutetea katiba na haki yao ya kuandamana. Aidha upinzani umezua maswali kuhusu mauaji yaliyotekelezwa na..