Back to homeWatch Original
Gavana Mutai aponea chupuchupu kuondolewa kutoka mamlakani
video
August 30, 2025
10h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Gavana wa Kericho DKT. Erick Mutai sasa anaahidi kuimarisha utoaji huduma kwa wakaziwa kaunti hiyo baada ya kunea chupuchupu kuondolewa kutoka mamlakani hapo jana. Mutai ametetea rekodi yake na kuahidi kuweka nguvu zake kutimiza ahadi alizotoa kwa wakazi..