Back to home

Wakulima katika eneo la Taita wataka mashine za kukaushia nafaka

video
July 9, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wafanyibiashara wa mahindi eneo bunge la Taveta kaunti ya Taita Taveta wanaitaka serikali ya kitaifa kupitia wizara ya kilimo kuhakikisha mashini za kukausha mahindi zinapatikana sehemu hiyo. Wafanyibiashara hao ambao huagiza mahindi kutoka nchi jirani ya Tanzania wanasema mara k..