Back to homeWatch Original
Gavana wa Kajiadi Ole Lenku akemea wahuni waliovamia hospitali
video
July 9, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Gavana wa Kajiado Joseph Ole Lenku amejitokeza na kushutumu vikali uvamizi wa hospitali ya Kitengela Level 4 wakati wa maandamano ya siku ya saba saba, ambapo uharibifu mkubwa ulishuhudiwa. Akizungumza baada ya kukagua uharibifu huo Lenku anasema waliotekeleza uhalifu huo hawakuw..