Idadi ya watu waliofariki kutokana na maandamano ya Saba Saba katika eneo la Ngong kuongezeka
About this video
Idadi ya watu waliofariki kutokana na maandamano ya Saba Saba katika eneo la Ngong imeongezeka, baada ya kijana mwingine kuripotiwa kufariki. Denis Kimeu, mwenye miaka 24, alifariki jana usiku katika hospitali ya Kenyatta alikokuwa amelazwa na majeraha ya risasi...