Back to home

Wakaazi wa soko la Kapsokwony wafanya maandamano

video
July 15, 2025
about 15 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakazi na wafanyabiashara wa soko la Kapsokwony katika eneo la Mlima Elgon wameandamana wakimtaka Rais William Ruto kutimiza ahadi yake ya kujenga barabara ya Kimilili-Kapsokwony, wakisema barabara hiyo kwa sasa haipitiki..