Back to homeWatch Original
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amepinga madai ya Rais Ruto
video
July 9, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amepinga madai ya Rais William Ruto kuwa upinzani unapanga kumuondoa ofisini kupitia njia zisizo za kikatiba. Gachagua amesema kuwa upinzani unajiandaa kwa uchaguzi wa mwaka wa 2027 na utahakikisha Ruto ni rais wa muhula mmoja..