Wauguzi wanagenzi walalamika kukosa nafasi ya kufanya kazi nyanjani
About this video
Baadhi ya wanafunzi wanaolalamika walihitimu mwaka wa 2019 na 2020. Wanailaumu wizara ya afya na baraza la uuguzi nchini kwa ubaguzi, wakidai kuwa wamepuuzwa licha ya kuwa na utaalamu unaohitajika. Wanafunzi walioathirika wameapa kuendelea kushinikiza uwazi na uwajibikaji. Wanage..